Jinsi ya kufanya simu yako ili iwe na kasi zaidi kwenye Internet
Sote tunajua kwamba simu yako ikiwa mtandao unasumbua kwenye internet unakosa vitu vingi kama kwenye mitandao ya kijamii hutaweza kutumia kwa sababu internet inazingua wakati mwingine huwa unazunguka ndani ya nyumba yako ili kupata mtandao kwa kuliona hilo leo Ramatech tutakufahamisha jinsi ya kufanya ili simu yako isome 4G
Kwa hiyo hapa tumeimarisha njia ambazo unaweza kutumia kutatua tatizo lako la mtandao
Fuata hatua hizi hadi mwisho:

- Njia ya kwanza ni kuanza upya simu yako kama hiyo picha apo juu inavyo onyesha ☝ uta bofya sehemu iliyo andikwa Restart njia ya msingi na yakutumika zaidi ya kurejesha ishara yako ya mtandao kwenye Android na Iphone yako.
- Njia ya pili ni kutoa sim kadi yako na kuiweka tenakwenye simu njia hii ni nyingine inayofaa sana kwawatumiaji wote wa simu bila kujali kwamba ni Android,Iphone,Ios au brand yoyote ile.
- Njia ya tatu badilisha njia ya ndege kama unavyo ona hapo. kwenye picha sehemu imeandikwa Airplane mote weka simu yako kwenye hali ya ndege kwa muda wa sekunde 30 baada ya hapo zima hiyo hali ya ndege mtandao utakaa vizuri.
- Njia ya nne hakikisha mipangilio yako ya mtandao kwa watumiaji wa Android Ikiwa wewe ni mtumiaji wa simu ya Android ,angalia chaguzi hizi unaweza kupata tena mtandao
Hatua nyingine unaweza kipiga
- *#*#4636#*#* baada ya hapo chagua
- Bonyeza chaguo inayoitwa ' info ya simu'
- Gonga kwenye jaribio la ping run
- Chaguo la redio litaonekana kwenye skrini yako hakikisha ni ON
Hatua nyingine weka mtandao wako manualy
- Nenda kwenye settings
- Gonga kwenye more Networks
- Bofya kwenye mobileNetworks
- hakikisha mtandao wa simu yako uko kwechini👇
Maoni
Chapisha Maoni
Maoni hapa⬇