Programu bora kwa ajili ya kusoma Qur'an kwenye simu yako

Programu bora kwa ajili ya kusoma Qur'an kwenye simu yako:

Kwanza kabisa

Bismillahir-Rrahmaanir-Rahiym. Alhamdulillaahi Rabbil Aalamin, waswalatu wassalam alaa Rasulillahi (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam).

Programu ya kwanza inaitwa:
(1)Jifunze kiarabu:
 Kwanza kabla ya kusoma Qur'an unapaswa ujue herufi hivyo hii programu itakusaidia kama ulikuwa hujui kusoma herufi za Qur'an. kudownload bonyeza sehemu iliyo andikwa download
Download hapa

Programu za Qur'an:

(2)Muslim pro
Download hapa
Programu hii unaweza kusoma  Qur'an na tafsiri yake kwa kiswahili pia lugha ya kiingereza ipo na lugha nyingi utachagua kama unataka kiswahili utaweka napia unaweza kufanya dhikili na kukujulisha muda wa swala vipindi vyote kuanzia subuhi,dhuhuri,alasir,maghalibi na Inshai.

Programu nyingine ni
(3)Quran for Android: programu hii pia ni nzuri unaweza kusoma Qur'an na kusikiliza kwa sauti
kudownload bonyeza sehemu iliyo andikwa download
Download hapa

Programu nyingine ni
(4)Qur'an katika kiswahili:
ambayo maandishi yake ni kwa kiswahili tu
kudownload bonyeza sehemu iliyo andikwa download hapa
Download hapa
Programu nyingine ni
(5)Qur'an kwa kiswahili:
ambayo utasikiliza Qur'an na utasikiliza tafsiri yake kwa kiswahili.
Kudownload bonyeza sehemu iliyo andikwa download
Download hapa
Kwa leo tutaishia apa mwenyezi mungu akipenda tutakutana kwenye somo lingine kufahamishana mambo mbali mbali usisite kutoa maoni apo chini inshaallah.
pia unaweza kutembelea facebook page kwa habari mbali mbali kwa kubonyeza hii alama apa👍

Maoni