Jinsi ya kulinda simu yako kutokana na #hacked

Jinsi ya kulinda simu yako kutokana na hacked

Una weza kulinda simu yako kwa kutumia huduma ya Google play protect
Google ina sehemu ambayo kama uki iwezesha basi simu yako itakuwa salama kutokana na programu hatari na unapotembelea website ambazo zinaweza kuwa hatari .

Lakini simu nyingine huwa zinakuwa tayari zime wekwa kiotomatiki ila kuangalia ni vizuri zaidi
Kama uki angalia ukakuta imesha wekwa tayari basi usiguse chochote mfano ukakuta iko hivi⬇
Basi usi guse chochochote ila kama haina uta takiwa ufanye kama ambavyo nime elekeza apo chini


Google play Protect ina maana kuondoa programu zisizo salama kwenye simu yako ambapo kama kwenye simu kuna programu ambazo ni hatari kwenye simu yako kuna sehemu utailuhusu Google ikague programu zote na kama kuna ambayo si salama Google wataiondoa

Kwa mfano kama iki kagua na kukuta hakuna programu ambayo ni hatari kwenye simu yako basi itakuonesha kama hivi⬇

Na kama kutakuwa na tatizo basi ita kujulisha. 

Na kama uki tembelea website ambazo ni hatari Google wata kuonesha kama hivi⬇
Unacho takiwa kufanya fuata maelekezo apa chini⬇
Jinsi ya kuweka play protect kwenye simu yako kama unatumia android fuata hatua hizi rahisi
  1. Hatua ya kwanza nenda play store kama hivi⬇
  2. Hatua ya pili angalia apa kwenye picha⬇
  3. Hatua ya tatu angalia picha⬇
Ukitembelea website ambazo ni hatari fanya kama ambavyo picha ina onesha apo⬇
Baada ya hapo simu yako itakuwa salama zaidi.

  1. Kwa leo tutaishia apa tukutane kwenye somo lingene kama una maoni unaweza kutoa apo chini na pia kwa habari mbali mbali za Teknolojia unaweza uka like page facebook kwa kubofya apa kwenye alama 👍

Maoni

Chapisha Maoni

Maoni hapa⬇