Apple's inatarajia kuzindua simu ambayo itakuwa ni simu ya kwanza kuja na Internet ya 5G


             
Kampuni ya Apple's inakuja na simu ya kwanza kabisa kuwa na huduma ya Internet ya 5G ambayo inakasi sana mtandaoni ripoti kutoka katika jarida laFast company zinasema kwamba kampuni hiyo inatarajia kuzindua simu zao za kwanza kabisa kuwa na Internet ya 5G katika taarifa hiyo kampuni hiyo imesema inarajia kuzindua simu hizo ifikapo mwaka 2020 kampuni hiyo pia imesema itashirikiana na kampuni ya itel ambayo kwa kushirikiana kwao huko wataweza kutengeneza modem 8161 5G moambayo pia ina uwezo wa huduma ya Internet ya 5G kwa upande wa mkulugenzi wa kampuni ya itel alipoulizwa na jarida laTheverge alisema mradi huo unaenda vizuri na ifikapo mwaka 2020 wanatarajia kuzindua rasmi

Maoni