Google beta yafikisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwake

Google beta inasheherekea miaka 11 ya kuanzishwa kwake
                               
Siku kama ya leo miaka 11 iliyo pita google ilizindua programu yake ya kwanza ya beta programu hiyo ili anzishwa 5-11-2007 na ilipofika mwaka 20008 ikazinduliwa rasmi kwa Android programu hiyo iligunduliwa na Rubin akishirikiana na google kabla ya hapo watu wengi walikuwa wakitumia Google seach pekee lakini baada ya google kuzindua programu hiyo sasa ni rahisi ukitaka kutafuta kitu kwenye google,programu hiyo maalufu kama google chrome sasa imefikisha miaka 11 tokea kuanzishwa kwake na google inaendelea kuiboresha programu hiyo kwa kutoa toleo jipya mara kwa mara na kuifanya programu hiyo iwe bora zaidi kama unalo toleo la zamani unaweza kujaribu toleo jipya kudownload bonyeza sehemu iliyo andikwa downloadDownload hapa.

Maoni