Top 3 programu bora kwa ajili ya kupiga picha,kuediti, picha pamoja na kurekodi video kwa ubora wa hali ya juu pamoja na kuediti video kwa ubora kabisa:










Top 3 programu bora kwa ajili ya kupiga picha,kuediti, picha pamoja na kurekodi video kwa ubora wa hali ya juu pamoja na kuediti video kwa ubora kabisa kwa watumiaji wa Android bila kupoteza muda twende tukaziangalie programu hizo


  • SPLIT CAMERA
Split camera ni programu nzuri kwa kupiga selfie kwani programu inagawanya skilini yako ndani ya nusu mbili katika uwiano wa 50-50 ambayo itaifanya picha yako kutoka kwa ubora na pia programu hii ni nzuri kwa kuediti picha ambapo unaweza kuunganisha picha mbili na bila kuonekana kama zimeunganishwa kama inavyo enyesha kwenye picha apa chini⬇
             
Kuhifadhi picha bofya sehemu yenye rangi ya bluu
Programu hii inapatikana bure kabisa play store unaweza kui download kwa kubofya hapa➡ Download hapa

Nyingine ni

  • FRONTBAC  frontback ni programu nzuri kwa kuchukuwa picha haraka na pia unaweza kuweka hadi picha 4 na zaidi na kuzituma kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook,instagram nk. 

                                       
Programu hii pia inapatikana bure play store
Ku Download bofya Download hapa

Nyingine ni
  • INSTASPLIT
Instasplit ni programu nzuri unaweza kugeuza picha na kuunganisha picha na pia kuna chaguo la kugeuza kuzima flash Auto na kubadilisha sklini kuwa katika wima au usawa na kubadili camera kutoka upande wa mbele na kuenda upande wa nyuma na pia ni rahisi sana kutuma picha kwenye mitandao ya kijamii.
Programu hii pia inapatikana play store bure kabisa kui download bofyaDownload hapa
Na hizo ndiyo programu ambazo nimekuandalia kwa leo pia usisite kutoa maoni kwani maoni yako ni muhimu sana.

Kuhusu kuediti video kwa watumiaji wa Android na iOS soma makala hii ➡Programu-bora-zaidi-kwa-ajili-ya-ku editor video kwenye simu kwa watumiaji wa Android na iOS.

Maoni